Habari,Picha na Matangazo

Wednesday, September 17, 2014

UBAGUZI WA RANGI WAENDELEA KURINDIMA


Ronaldinho amekumbana na kitendo cha ubaguzi wa rangi kutoka kwa mwanasiasa mmoja nchini Mexco.
Mwanasiasa huyo kutoka chama cha PAN amembagua Ronaldinho akimfananisha na sokwe.
Sababu kubwa ya kumbagua ni kutokana na foleni kubwa ya magari barabarani iliyosababishwa na mashabiki wa timu ua Querétaro aliyojiunga nayo nchini Mexico.
Wengi walikuwa wanatokea uwanjani wakati Ronaldinho anatambulishwa.
Mwanasiasa huyo akaamua kuandika kwenye ukurasa wake wa Facebook, kama anachukizwa na mchezo wa soka na anashangazwa watu kusababisha foleni sababu ya sokwe mmoja.
Kauli hiyo ilipingwa na wengi na kusababisha mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa waziri kuifuta post yake.
Hata hivyo, watu wameendelea kumsakama na kupinga kitendo chake hicho cha kibaguzi.


Posted by Unknown at 3:49 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Archive

  • ►  2015 (9)
    • ►  February (9)
  • ▼  2014 (38)
    • ►  November (7)
    • ►  October (5)
    • ▼  September (10)
      • MAANDAMANO CHADEMA
      • MAANDAMANO CHADEMA
      • <!--[if gte mso 9]> Normal 0 f...
      • Ndoto za nyasi bandia Nyamagana imetimia <!--m...
      • TSC yaanza kuandaa kikosi cha kombe la dunia 2018
      • LEO NI TOTO AU VIPER YA UGANDA
      • TOTO BADO KICHWA KINAUMA
      • NGASSA BADO NYOTA INA NG'AA
      • MAKALI YA DANNY WELBECK BADO
      • UBAGUZI WA RANGI WAENDELEA KURINDIMA
    • ►  July (3)
    • ►  June (4)
    • ►  May (9)
  • ►  2013 (11)
    • ►  December (2)
    • ►  November (8)
    • ►  February (1)
  • ►  2012 (1)
    • ►  December (1)

About Me

Unknown
View my complete profile
Watermark theme. Powered by Blogger.