SUPASTAA wa Barcelona Lionel Messi Jana alifunga Bao 1 wakati Timu yake inaichapa Eibar Bao 3-0 kwenye Mechi ya La Liga na kufikisha Bao 250 kwenye Ligi hiyo ikiwa ni Bao 1 tu nyuma ya Rekodi ya Straika wa zamani wa Athletic Bilbao Telmo Zarra mwenye Bao 251.
Pia Jana Messi alikuwa akisheherekea Miaka 10 tangu aanza kucheza La Liga akiwa na Klabu yake hiyo hiyo Barcelona.
Bao nyingine za Barca kwenye Mechi hiyo ya Jana zilifungwa na Xavi na Neymar.
Ushindi huo wa Barca hapo Jana uliendelea kuwachimbia Vainara hao wa La Liga kileleni mwa Ligi hiyo huku Wikiendi ijayo wakiwa wanaivaa Real Madrid kwenye El Clasico.
MSIMAMO
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
1
|
FC Barcelona
|
8
|
7
|
1
|
0
|
22
|
0
|
22
|
22
|
2
|
Real Madrid CF
|
8
|
6
|
0
|
2
|
30
|
9
|
21
|
18
|
3
|
Valencia
|
7
|
5
|
2
|
0
|
17
|
4
|
13
|
17
|
4
|
Sevilla FC
|
7
|
5
|
1
|
1
|
13
|
8
|
5
|
16
|
5
|
Atletico de Madrid
|
7
|
4
|
2
|
1
|
12
|
7
|
5
|
14
|
Bao nyingine za Real zilifungwa na Javier Hernandez ‘Chicharito’, James Rodriguez na Isco.
LA LIGA, RATIBA/MATOKEO:Saa za Bongo
Ijumaa Oktoba 17
Granada CF 0 Rayo Vallecano 1
Jumamosi Oktoba 18
Levante 0 Real Madrid CF 5
Athletic de Bilbao 1 Celta de Vigo 1
FC Barcelona 3 SD Eibar 0
Cordoba 1 Malaga CF 2
Jumapili Oktoba 19
13:00 Atletico de Madrid v RCD Espanyol
18:00 Deportivo La Coruna v Valencia
20:00 Elche CF v Sevilla FC
22:00 Villarreal CF v UD Almeria
Jumatatu Oktoba 20
21:45 Real Sociedad v Getafe CF
No comments:
Post a Comment