Tuesday, May 27, 2014

UZINDUZI WA AFYA YA UZAZI WA MPANGO

UZINDUZI WA AFYA YA UZAZI WA MPANGO
Naibu Waziri wa Afya

 
Naibu Wziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Kebwe Steven Kebwe,akizungumza na wananchi jijini Mwanza jana,wakati wa uzinduzi wa Afya ya Uzazi wa Mpango,ambapo aliwaasa watu kusafisha mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa Dengue.Picha na Michael Jamson

Nesi Mkuu wa kutoka Hospitali ya AAR Zuhura Selemani,akimpima shinikizo la damu mkazi wa kona ya Bwiru Ester Paulo jijini Mwanza jana,wakati wa uzinduzi wa Afya ya Uzazi wa Mpango.Picha na Michael Jamson

No comments:

Post a Comment