Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maimuna Tarishi,akifungua warsha ya Wahariri na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa(TANAPA) iliyoanza jijini Mwanza jana,kulia ni Mwenyekiti wa Tuzo za Mamlaka hiyo Ayubu Lioba.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa(TANAPA) Ibrahimu Mussa,akifafanua jambo warsha ya Wahariri na Mamlaka hiyo iliyoanza jijini Mwanza jana,kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maimuna Tarishi.Picha na Michael Jamson
No comments:
Post a Comment