Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Brazil
Ronaldo alilazimika kuosha vyombo baada ya kushindwa katika mchezo wa
karata na mchezaji wa tennisi Rafa Nadal,na kumfanya mchezaji huyo wa
tenisi kupokea dola 50,000 za hazina yake ya kutoa msaada huku Ronaldo
akiosha vyombo.