Magari yakiwa kwenye foleni jijini katika barabara ya Kenyatta kama yalivyokutwa jana,ambapo eneo la katikati ya jiji huwa na foleni wakati wa asubuhi.
Tuesday, May 27, 2014
Friday, May 23, 2014
wahitimu SAUT
Wakwanza kushoto ni Mariam Juma mwandishi wa Mwananchi, mhadhili wa SAUT Denis Mpagaze, Afisa uhusiano wa BEST- AC Godfrey Kalagho na wahitimu Nancy Ijumba toka Radio SAUT na Stella Ibengwe kutoka Mwananchi
Waandishi watatu wa Mwananchi wahitimu mafunzo ya Mazingira
ya kibiashara
Mwanza:
Wednesday, May 21, 2014
MASHINDANO YA UMISETA NGAZI YA MKOA
Mashindano ya michezo kwa shule za Sekondari (UMISETA) ngazi ya mkoa yameanza kushika kasi kwa kuzikutanisha timu zote za wilaya saba za mkoa wa Mwanza katika viwanja vya shule za Sekondari za Nsumba na Ngaza.
Subscribe to:
Posts (Atom)